FT: Yanga SC 1-0 KMC | NBC Premier league | Benjamin Mkapa Stadium

Sijui ni mwana Yanga gani aliyeangalia hii game na akawa ameridhishwa na kiwango alichokionesha Azizi Ki leo?
 
Sijui ni mwana Yanga gani aliyeangalia hii game na akawa ameridhishwa na kiwango alichokionesha Azizi Ki leo?
Ukiwa na chuki na mtu utaona mapungufu/madhaifu yake tu,..mkuu utateseka sana na Aziz Ki na bado! Assist ya goli katoa nani? Mafree kick kama yote je..? Yule fundi mzee narudia hakuna mchezo Bongo kama Aziz ki.
 
Mi binafsi huwa nawazaga hivi mtu aliyewasajili Morrison, Kumrudisha Tuisila, Yule Mrundi na kumbakisha Makambo kisha kumtoa Yacoub sijui aliwaza nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…