sinyaghile
JF-Expert Member
- Mar 9, 2023
- 270
- 381
Kuna mtu aliwahi kusema wenye akili huko kwenu ni wawili tu wengine wote ni mbumbumbu.Kumbuka tu mashabiki wa Yanga siyo mbumbumbu! Na siyo watu wa kulia lia na kulalamika hovyo kama nyinyi
Mbona ww hukutoa hii comment kabla ya mechi?Ulikuwa wapi kutoa comment kama hii kabla ya mechi!?
Sasa we ulitaka tuwafunge 5 wafiwa?? Unadhan yanga tuna roho mbaya kama yako. Yani hayo manne tuliowaachia ndo rambirambi, bado hamjasema....mpaka mseme[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inashindana na Namungo yenye msiba, goal la ndondokelaa.
Hayo ni maneno yako mbumbumbu 😀Akili zimeanza kuwarudia.Mtasema ukweli tu hivi karibuni.Tena mmecheza nyumbani.
Inaelekea wewe upo kwenye lile kundi la wawili aliowasema Manara.Wewe utakuwa wa 3.Wengine gongowazi bisha mpaka ufe.Na hii bado sio perfect challenge kwa yanga! challenges tunaoneda kutana nazo Kwenye makundi club bingwa.
Yanga ya sasa bado haijaifikia yanga ya Mayele.
Kuna watu wanataka kuona Yanga inashinda goli kuanzia 5+ as mpira wa miguu umekuwa kama mpira wa pete!Propaganda ndio zinacheza mpira !?
Kumbuka soka sio kama 'tatu mzuka'. Hakuna timu duniani ilishawahi kuwa na consistency katika uchezaji kuachana na matokeo katika mechi zote. Kuna mechi muhimu ni alama tatu tu.
Sababu wewe mbumbumbu haukuandika.Mbona ww hukutoa hii comment kabla ya mechi?
Niumie kwa pira papatu papatu ?Unaumia ukiwa wapi mkuu..???
Wewe inaonekana hata mpira huujui. Yule ni line 2??. Line 2 anakua upande wa pili kule siyo huku. Huyo ni line 1 na alikua sahihi kwa maamuzi yale kama uko neutral. Hakukua na offside pale.Inaitwa ' Kushinda tumeshinda' ILA cha moto tumekiona...!
Ashukuliwe Line 2 kwa kutonyoosha Kibendera cha Offside
Karibuni kwa SambaLoketo hapo Kesho...
Usichojua ni kwamba hata kwenye kimataifa yanga imeshinda mechi nyingi ugenini kuliko timu yeyote africa, sasa subiri tucheze mechi tati ugenini tushinde halafu uje hapa tenaAkili zimeanza kuwarudia.Mtasema ukweli tu hivi karibuni.Tena mmecheza nyumbani.
Pia kocha wa Namungo si mgeni na Yanga.Kuna watu wanataka kuona Yanga inashinda goli kuanzia 5+ as mpira wa miguu umekuwa kama mpira wa pete!
Man City mwenyewe na kikosi chake bora kabisa, kuna mechi anafungwa! Sembuse Yanga!!! Namungo nao walijiandaa! Hivyo hata kama wangepata sare, bado yangekuwa ni matokeo halali tu.
Nyie muongoze ligi gani bhn na timu lenu bovu plus na kipa lenu Ayubu lisilojua kudaka kila mechi kuruhusu magoli..Pigeni picha msimamo . Kesho coastal anapigwa kipigo cha Horoya.
Mkuu tatizo sio magoli ila ni performance ya timu, yanga mbovu na ya kawaida mnoo ila inakuzwa tu na media na sijui ni kwa maslahi yapiKuna watu wanataka kuona Yanga inashinda goli kuanzia 5+ as mpira wa miguu umekuwa kama mpira wa pete!
Man City mwenyewe na kikosi chake bora kabisa, kuna mechi anafungwa! Sembuse Yanga!!! Namungo nao walijiandaa! Hivyo hata kama wangepata sare, bado yangekuwa ni matokeo halali tu.
Hawa ndiyo tunawaita wachaa mbuzi! Kama hajui hata Line 1 na Line 2 wanakaa wapi!! Tayari unaona kuna tatizo.Wewe inaonekana hata mpira huujui. Yule ni line 2??. Line 2 anakua upande wa pili kule siyo huku. Huyo ni line 1 na alikua sahihi kwa maamuzi yale kama uko neutral. Hakukua na offside pale.
Hakika you are city of lies as you call yourself,unawenge acha kuweweseka...hao wengine hawana bahati,unajuaje Kama timu hazijajiandaa ama dhaifu...haiko vizuri kivipi unafikiri kilasiku utashinda goli tano..usisahau ligi yetu ni ya 5 katika afrika mechi haziwezi kuwa nyepesi hata kidogo..ila timu Bora ndio itaondoka na ushindiKaka, ukweli mchungu, Yanga kuna bahat flan ivi, ni muda sasa tunajikuta tunakutana na timu eidha hazijajiandaa au dhaifu.
Yanga bado haiko vizuri kama tunavyo jiaminisha au kuaminishwa na wachambuzi.
Tunasafari ngumu sana pale kwenye Makundi ya Club bingwa, mark my words.
Unaposema Yanga ni mbovu, halafu inapata ushindi kwa 100% kwenye mechi zake, hakika kuna watu watakushangaa.Mkuu tatizo sio magoli ila ni performance ya timu, yanga mbovu na ya kawaida mnoo ila inakuzwa tu na media na sijui ni kwa maslahi yapi
Ulikuwa unasubiri niandike mmeo nawe mke wangu uandike, hii tabia umeanza lini?Sababu wewe mbumbumbu haukuandika.
Hayo matokeo anapata dhidi ya timu gani ?Unaposema Yanga ni mbovu, halafu inapata ushindi kwa 100% kwenye mechi zake, hakika kuna watu watakushangaa.