FT: Yanga SC 1-0 Namungo FC | NBC Premier League | Azam Complex | 20.09.2023

FT: Yanga SC 1-0 Namungo FC | NBC Premier League | Azam Complex | 20.09.2023

Na hii bado sio perfect challenge kwa yanga! challenges tunaoneda kutana nazo Kwenye makundi club bingwa.

Yanga ya sasa bado haijaifikia yanga ya Mayele.
Inaelekea wewe upo kwenye lile kundi la wawili aliowasema Manara.Wewe utakuwa wa 3.Wengine gongowazi bisha mpaka ufe.
 
Propaganda ndio zinacheza mpira !?
Kumbuka soka sio kama 'tatu mzuka'. Hakuna timu duniani ilishawahi kuwa na consistency katika uchezaji kuachana na matokeo katika mechi zote. Kuna mechi muhimu ni alama tatu tu.
Kuna watu wanataka kuona Yanga inashinda goli kuanzia 5+ as mpira wa miguu umekuwa kama mpira wa pete!

Man City mwenyewe na kikosi chake bora kabisa, kuna mechi anafungwa! Sembuse Yanga!!! Namungo nao walijiandaa! Hivyo hata kama wangepata sare, bado yangekuwa ni matokeo halali tu.
 
Inaitwa ' Kushinda tumeshinda' ILA cha moto tumekiona...!

Ashukuliwe Line 2 kwa kutonyoosha Kibendera cha Offside

Karibuni kwa SambaLoketo hapo Kesho...
Wewe inaonekana hata mpira huujui. Yule ni line 2??. Line 2 anakua upande wa pili kule siyo huku. Huyo ni line 1 na alikua sahihi kwa maamuzi yale kama uko neutral. Hakukua na offside pale.
 
Kuna watu wanataka kuona Yanga inashinda goli kuanzia 5+ as mpira wa miguu umekuwa kama mpira wa pete!

Man City mwenyewe na kikosi chake bora kabisa, kuna mechi anafungwa! Sembuse Yanga!!! Namungo nao walijiandaa! Hivyo hata kama wangepata sare, bado yangekuwa ni matokeo halali tu.
Pia kocha wa Namungo si mgeni na Yanga.
 
Kuna watu wanataka kuona Yanga inashinda goli kuanzia 5+ as mpira wa miguu umekuwa kama mpira wa pete!

Man City mwenyewe na kikosi chake bora kabisa, kuna mechi anafungwa! Sembuse Yanga!!! Namungo nao walijiandaa! Hivyo hata kama wangepata sare, bado yangekuwa ni matokeo halali tu.
Mkuu tatizo sio magoli ila ni performance ya timu, yanga mbovu na ya kawaida mnoo ila inakuzwa tu na media na sijui ni kwa maslahi yapi
 
Wewe inaonekana hata mpira huujui. Yule ni line 2??. Line 2 anakua upande wa pili kule siyo huku. Huyo ni line 1 na alikua sahihi kwa maamuzi yale kama uko neutral. Hakukua na offside pale.
Hawa ndiyo tunawaita wachaa mbuzi! Kama hajui hata Line 1 na Line 2 wanakaa wapi!! Tayari unaona kuna tatizo.
 
Hawa ndio wanaitaka al ahly au waydad na wakubwa wengine wa Africa tena kwa vidharau vya buza eti hata madrid aje tu. Kudadadadeki 🤣🤣🤣 acha mvua inyeshe
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Kaka, ukweli mchungu, Yanga kuna bahat flan ivi, ni muda sasa tunajikuta tunakutana na timu eidha hazijajiandaa au dhaifu.

Yanga bado haiko vizuri kama tunavyo jiaminisha au kuaminishwa na wachambuzi.

Tunasafari ngumu sana pale kwenye Makundi ya Club bingwa, mark my words.
Hakika you are city of lies as you call yourself,unawenge acha kuweweseka...hao wengine hawana bahati,unajuaje Kama timu hazijajiandaa ama dhaifu...haiko vizuri kivipi unafikiri kilasiku utashinda goli tano..usisahau ligi yetu ni ya 5 katika afrika mechi haziwezi kuwa nyepesi hata kidogo..ila timu Bora ndio itaondoka na ushindi
 
Back
Top Bottom