chama konokono
Senior Member
- Apr 27, 2023
- 103
- 226
- Thread starter
- #201
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado hujapata stress...Namungo wanataka kunipa stress saa hizi, dah!
imefiwa na nanMnacheza na timu iliyo na msiba mkubwa, halafu mkiifunga mjifanye wababe!! Ni aibu yenu!!
Na hapo wana majonzi ya msiba, vinginevyo mngekimbiana!!Namungo wanataka kunipa stress saa hizi, dah!
hii mechi tunashinda 2 bilaWananchi tumekamatwa atoke musonda aingie Gamondi tumalize mchezo
mechi 8 wakiwa hawana msiba hawajawahi kushinda hata 1Wako kwenye maombolezo wamewakaba hivi.
Wangekuwa kawaida ingekuwaje?
ataibariki ipingwe 2Mungu ibariki Namungo
Toa gamondi ingiza kibu mkandajihii mechi tunashinda 2 bila
Hujasikia bus lao lililobeba ndugu, jamaa, marafiki na wapenzi wa Namungo lilipata ajali na watu 4 wamefariki na 26 wamejeruhuwa!imefiwa na nan
kiongozi gani
yaan timu iwe na msiba mkubwa T.F.F Wasitambue hilo
sio ndondo hiiToa gamondi ingiza kibu mkandaji