FT | Yanga SC 1-0 Simba SC | Ngao ya Jamii | New Amaan Complex | 12.08.2026 | Yanga mabingwa

Mabeki wetu wakati ni kweli ni watulivu lakini wana mistakes za hatari sana kwakua kila muda wanalazimisha kupiga pasi ndani pale ngoja tuone
Kocha wa Yanga alisema Jana.
Udhaifu wa Simba ni backline yao.
 
kwa mnaoangalia mpira huko kwenye TV hivi kweli Simba wapo uwanjani? Mbona naona kuna upande unapelekewa moto sana kama vile yanga wapo mazoezini
 
Simba inaweza kuwa na wachezaji sio wazuri sana ila hata kocha ana matatizo. Wasipotafuta kocha wa kueleweka wasahau makombe, haiwezekani timu inacheza mpira haueleweki kisha unamuacha Oura unamtoa Chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…