FT | Yanga SC 1-0 Simba SC | Ngao ya Jamii | New Amaan Complex | 12.08.2026 | Yanga mabingwa

Simba timu yangu ni taka taka mbele y yangu kutokona na uongozi wa kijnga , achieni ngazi nyie kina mo na kina mangungu , simba inauzika kimataifa kwa watu wenye akili timamu ya mpira
tuliza pressure mkuu, hali sio nzuri kabisa.

BTW hayo ndo matokea ya mpira mkuu, ilikuwa ni lazima mmoja apigwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…