Kuna ujinga mwingi pale Simba hasa Magori na mo wake, kabla ya ligi kuisha ilijulikana wazi timu inahitaji maeneo gani kuimarishwa lakini usajili wa kwanza ni winga, Duchu alifanya Boka awe na kazi nyepesi ya kupanda muda woteDuchu hana kiwango cha kubaki simba since wayy back. Iko wazi muda mrefu
Soo wananchama watagundua uswahili unaoendelea paleKuna ujinga mwingi pale Simba hasa Magori na mo wake, kabla ya ligi kuisha ilijulikana wazi timu inahitaji maeneo gani kuimarishwa lakini usajili wa kwanza ni winga, Duchu alifanya Boka awe na kazi nyepesi ya kupanda muda wote
Titcomb amenikumbusha mbali sana enzi za O-Level. Kulikukuwa na Kitabu kinaitwa Fundamentals of Engineering Science by Titcomb, G. R. A.Ndio maana nikashangaa mbona nampenda titicomb kumbe ni mwanayanga mwenzangu
Nipo pamoja na weweJAPO SIKUHIZI SIPENDI KUONGELEA MASUALA YA MPIRA LAKINI ANAYEFANYA SAJILI HIZI HAFAI KABISA NDANI YA SIMBA
1. Golikipa hatoshi.
2. Tafuta beki wa kushoto (kata maema)
3. Tafuta kiungo No 6
(Kata katleso)
4. Tafuta Mshambuliaji No 9
(Kata DUMBIA).
Baadhi ya Mashabiki ni Wajinga wanamlalamikia Mangungu.
Yule Ibrahim Doumbia ni Osmhen mtupu! Sijui ni kwa nini baadhi ya mashabiki wanamkejeli na kumdharau.Tumpe mda Doumbia mda huo tukisubiria internet ikae sawa tukatoe pesa benki
Wewe ni mkenya. Rudi kwenu!Babu kausha shabikia ujinga wenu huko
Ghaiii mm ni mkenya mazee, siongopi mtuWewe ni mkenya. Rudi kwenu!
Kurudi Kenya ni ile kitu inafaa juu huku TZ hatupendangi watu ambao wanamix lugha mbili.Ghaiii mm ni mkenya mazee, siongopi mtu
Azin ni hme no way, we shall back ushagoKurudi Kenya ni ile kitu inafaa juu huku TZ hatupendangi watu ambao wanamix lugha mbili.
You need to go back to your country of origin due unafanya business kwa kariakoo huku ukijisema wewe ni mbongo. It's better ukatumianga tu sheng instead of Swahili.Azin ni hme no way, we shall back ushago
DuWazee wa kupeleka moto.!💚💛🔥