FT | Yanga SC 1-0 Simba SC | Ngao ya Jamii | New Amaan Complex | 12.08.2026 | Yanga mabingwa

FT | Yanga SC 1-0 Simba SC | Ngao ya Jamii | New Amaan Complex | 12.08.2026 | Yanga mabingwa

Okello anaenda kuibiwa namba na Kangwanda, Okello aongeze uwezo wa kumiliki mpira na kugombania mpira, too sad mtoto wa watu atafute team mapema. Kangwanda hii mechi kaamua kuonesha kwamba mliyekuwa mnamtafuta sasa mmenipata.
Kwanini Yanga wasiamue kummilikisha Duke lile dimba la kati?
Boka huu msimu kajizaa upya cross zote alizopiga nilikuwa perfect, cross za moto, Boka ukituliza akili utajua kwanini anamuweka bench Zimbwe.
Yao Kwas, hata ManCity anacheza 1st eleven.
Diara aongezewe mkataba awe coach.
Shalulile ni striker ule uchezaji wake wa ku press mabeki na kipa hii league ya bongo atafunga sana magoli zaidi 15.
Max the church boy, ameonekana hataki kupoteza namba yupo tayari kuingia uwanjani iwe kwa mafuta au maji ya Mwamposa.
Bacca sikuhizi anacheza ki professional hatumii nguvu anatumia akili tu, ukimkaba vbaya umecheza faulo.
Mwamnyeto ni mchawi wa Yanga 😂 nyie hamshangai mechi kubwa zote anacheza vzuri sana na anaibeba team.
Yule Shekhe mwenye uchebe, ana sura ya upole ila ni katili, ashaisoma Yanga inataka nini, atafunga sana akichezeshwa pamoja na Shalulile.
5imba Kinyesi FC niwaambie tu ukweli, mna wachezaj 4 tu ambao wanaweza kucheza mechi kubwa ya derby na kimataifa.
Mwambieni coach wenu Chama kazeeka ila kuna namna ana hatari akiwa uwanjani hata kama hana madhara amechoka, asitolewe.
Anyways wazee wa Yanga walitoa masaa 24 simba mkazoe mavi kabla ya wazee hawajaenda kuzoa wao, ila nyie mkakaza matako.
YANGA BINGWA back to back 10 years
Bwana Yesu Asifiwe Assalamualaikum
 
Hawa wazee mangungu,magoli,try agen ukiwatazama vizuri kwa jicho la tai utaona kama wana misimamo ya ki ccm ccm au kiserikali flan ivi yani kama bila wao akuna simba pia watazame wakiwa wanazungumza au wakiwa wanajibu maswali then wasikilize viongoz wakiserikali utagundua
Bora hata Try Again yule jamaa amestaarabika sana. Kuna yule jamaa anaitwa Magori aiseeh sijawahi kuona mtu mzima umri ule wa kuitwa Mzee anakua na dharau na nidhamu mbovu kiasi kile. Ana majibu ya ovyo na afu ni mtu wa kukurupuka, mjivuni na Mungu mtu sana. Mbaya zaidi kauli zake hua haangalii pa kuzielekeza iwe kwa wachezaji wa timu yake na hata viongozi wenzake (juzi tu hapa alisema kuna baadhi ya viongozi pale Simba wana matatizo ya Afya ya akili, last week kasema hakuna mtu yoyote anaeijua Simba kuliko yeye, hivi Alhadj Ismail Aden Rage asemeje sasa?)
 
Mathkini Thimba amekuwa wa kunyolewa kila siku sasa, au Wasuse kucheza
 

Attachments

  • FB_IMG_1786594106540.jpg
    FB_IMG_1786594106540.jpg
    71.1 KB · Views: 12
Ama kweli kila muosha uoshwa.

Na bila shaka mmekumbuka mlichotufanyia pale jangwani.
 
Back
Top Bottom