FT: Yanga SC 1-1 Simba SC | Ligi Kuu NBC '22/'23 | Benjamin Mkapa Stadium

FT: Yanga SC 1-1 Simba SC | Ligi Kuu NBC '22/'23 | Benjamin Mkapa Stadium

Acha uongo wewe!!

Nyie watu hata ule msemo wa yule mmoja mwenye akili wa Klabu yenu, Kikwete umeshindwa kuutumia? Alisema "jambo la kuambiwa changanya na akili za kwako" Pale Kigoma Mwaka 2021 tulipowafunga moja bila kwenye Fainali ya Azam Confederation Cup halikuwa goli lile?
Achana nao hyo timu ukiishangilia na akili zinanyofoka,yani wanajitoa ufahamu hawareason
 
Ukitaka kujua hawatumii kabisa mbongo zao, aliyewaambia hawana akili eti ndiye anayewakaririsha ubora wa Yanga.
Yani unajua mpk unashangaa aisee.Yanga wanaojua uhalisia huwezi wakuta wanabishana eti Simba imefungwa mara ya mwisho lini. Kwenye ligi hakuna ni wametoka droo na kufungana mara mbili. labda hizo mechi mbili za ngao na Azam sfc. Lakini utakuta yanavyobwabwaja sasa.
 
Back
Top Bottom