FT: Yanga SC 1-2 Fc Augsburg | Mpumalanga cup | Mbombela Stadium | Saturday, 20 July 2024

FT: Yanga SC 1-2 Fc Augsburg | Mpumalanga cup | Mbombela Stadium | Saturday, 20 July 2024

Basi tushaelewa Wajerumani wanawalinda Uto
Kila mtu anacheza fairplay hii game mkuu.
Ingekua match ya kutafuta ushindi wa LAZIMA Yanga asingemuingiza Sure boy aanze.
Na sasa hivi kamuingiza Sheikhan Ibrahim.
Sheikhan na match kubwa za matokeo wapi na wapi?
 
Unajifariji boss. Sikia, hakuna beki ya kuwazuia hao jamaa wakiamua kukamia kuyatafuta matokeo against timu kama Yanga. Kitashuka kipigo FIFA itaingilia kati.
🤣🤣🤣
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Back
Top Bottom