Ngiama makanda
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 1,552
- 2,741
Kwa mpira huu yanga tunaocheza Magoma apewe funguo za ofisi mapema kabla ligi haijaanza vinginevyo makombe yote yanaenda kurudi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuhusu mimi kuwa serious kwamba hawa majamaa hawako serious? Niko seriousKaka umeongea ki utani kama nape au uko seriously?
Acha waumie wa kutoshaKaboka mchizi pancha
Kila mtu anacheza fairplay hii game mkuu.Basi tushaelewa Wajerumani wanawalinda Uto
🤣🤣🤣Unajifariji boss. Sikia, hakuna beki ya kuwazuia hao jamaa wakiamua kukamia kuyatafuta matokeo against timu kama Yanga. Kitashuka kipigo FIFA itaingilia kati.
engine ya bodaboda?Mzize out
Na hii ndio engine ya Yanga
GrandpaBaleke Sio mzee kwel?
Sio watoto hao.Yanga mnafungwa na kikosi cha watoto cha augsburg?