FT: Yanga SC 1-2 Fc Augsburg | Mpumalanga cup | Mbombela Stadium | Saturday, 20 July 2024

Mkitaka kuwajua Augsburg basi chekini siku wakicheza dhidi ya Bayern Munich katika Bavarian derby...hawa jamaa ni ngumu kumeza toka wapande daraja bundesliga
Walimaliza ligi nafasi ya ngapi ujerumani?
 
Yani ukiskiliza maneno ya Mashabiki wa kariakoo kwa ujumla kwanzia mtaa wa msimbazi mpaka Jangwani unaweza ukafa...
- wamepewa
-hakuna kitu
- wameroga
-wamehonga
-Pancha
-wazee
-hakuna timu
- wamepewa mlungula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…