FT: Yanga SC 1-2 Fc Augsburg | Mpumalanga cup | Mbombela Stadium | Saturday, 20 July 2024

FT: Yanga SC 1-2 Fc Augsburg | Mpumalanga cup | Mbombela Stadium | Saturday, 20 July 2024

Mechi imeisha, tumeona tulichokiona. Ila focus ya Gamondi ilikuwa ni wazi kuwa sio matokeo bali kuona performance ya wachezaji wake. Ingekuwa ni matokeo asingeweza kumtoa Aziz Ki ambaye ndiye aliyeonekana msumbufu kule mbele. Upande wa performance nimeridhiwa, tuna kikosi cha kuweza kushindana na timu za klabu bingwa
 
Hawa jamaa wa Bundesliga wamecheza kimasihara sana. Ajuza walistahili kufungwa hata goli 8
 
tumejitahidi sana, tulikuwa na uwezo kutoa droo. hivi pacome kwanini huwa hachezi? au yanga wanaona wakimchezesha watapata fine, ana shida gani.
Wanasema sijui Passport zimekuaje
Ila nashangaa huku yupo anaingia Tz fresh
Au kocha anamhifanyi kwa matumizi ya maana kama Aucho
Mana kuna watu wakiumia bwana inakua tqbu sana
 
Back
Top Bottom