Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kwa sababu hujaiona iwapo imeshakuwa timu au ni kikosi cha wachezaji tu. Wachezaji wapo ila hatujui kama kocha ameweza kuwafanya wakawa timu.Mimi ni Simba ila siiamini timu yangu kabisaaaa!
Ila ngoja tuione!
Kwa hiyo unafurahia kupigwa chache? 😂😂😂mulitaka tupigwe nyingi kama nyinyi
kuna mtu misri alipigwa 6Kwa hiyo unafurahia kupigwa chache? 😂😂😂
😂😂😂kuna mtu misri alipigwa 6
Ameenda lini mana juzi alikua AvicPacome yupo ivory cost anashulikia passport
Ni kweli!Sema wanatu alart
Mbona unaongea kama mgeni na mchezo wa mpira wa miguu? Haya mashindano na fine wapi na wapi?tumejitahidi sana, tulikuwa na uwezo kutoa droo. hivi pacome kwanini huwa hachezi? au yanga wanaona wakimchezesha watapata fine, ana shida gani.
Simba kama kuna wazee mnauza tunawaomba😎
Huo ni uongo!Simba wiki iliyopita walifungwa 6-2 huko Misri, yaani Yanga hii itaitesa sana Simba
Sawa ila ulivyo leta timu yako ulikula 7Utopolo GENGE la majangiri tu
Dah sikuwa online mdauGreatest Of All Time naomba link