Mycojkhan
JF-Expert Member
- Jul 12, 2024
- 803
- 1,498
Lakin Mabao Mawili yameingiaTumefungwa ndio..... Kwa tabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakin Mabao Mawili yameingiaTumefungwa ndio..... Kwa tabu
Unamaanisha yale magoli 6, ambamo ndani yake imo ile hat trick ya Abdallah 'King Mputa' Kibadeni?Still the best 💚💛✌️
Sio kama majirani waliochezea sita utadhani ni netball.
Mkuu nakusalimia.Huyu Pacome na Aucho katika mechi muhimu huwa hawapatikani, ofcz Pacome issue yake ni passport yake imejaa, so immigration huruhusiwi kuingia mgeni kama passport yako imejaa mana watakosa sehemu ya kugonga muhuri, kwahiyo ameenda kwao ku issue passport mpya.
Sio kama yaliongia kwenu.....sita ni mengi jamani hata ndoani hatuwezi kufikisha ila nyie mmefikisha.Lakin Mabao Mawili yameingia
Huu ndio ukweli. 😂Tumefungwa ndio..... Kwa tabu
7_2kwaio yamegongwa.
Pambana ndugu.Mambo mengi , mechi siangalii ila nimepita humu mara Moja kutazama kinachoendelea nimekuta Makolo yanapeana faraja na yamerudi kutoka mafichoni kwa Kasi ya 5G.
Naamini uongozi unajua presha iliyopo na Simba ni Simba.Ulichokisema ni kweli!
Ngoja tuone mambo yatakuwaje!
Ishu ya Aucho inafanana na Musonda, hawakuwepo kabisa benchi sababu ya fitness. Walichelewa kuanza mazoezi pamoja na wenzao.Huyu Pacome na Aucho katika mechi muhimu huwa hawapatikani, ofcz Pacome issue yake ni passport yake imejaa, so immigration huruhusiwi kuingia mgeni kama passport yako imejaa mana watakosa sehemu ya kugonga muhuri, kwahiyo ameenda kwao ku issue passport mpya.
pacome vipi? mbona hachezi anakula mshahara wa bure. au ana kasoro kwenye usajili?Ishu ya Aucho inafanana na Musonda, hawakuwepo kabisa benchi sababu ya fitness. Walichelewa kuanza mazoezi pamoja na wenzao.
Mimi naiamini, changamoto ninayoiona ni kuwa na kikosi kipya sana.Mimi ni Simba ila siiamini timu yangu kabisaaaa!
Ila ngoja tuione!
Mbona Diarra kachelewa lakini kacheza?Ishu ya Aucho inafanana na Musonda, hawakuwepo kabisa benchi sababu ya fitness. Walichelewa kuanza mazoezi pamoja na wenzao.
Akina Pamba FC wanafanya mazoezi vichakani.Hii yanga hii ..
Kuna watu watakula 7 😀😎 nyie pigeni makelele tu hapa
🤣😁😁Akina Pamba FC wanafanya mazoezi vichakani.