permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Mtapigwa kama ngomaMimi ni Simba ila siiamini timu yangu kabisaaaa!
Ila ngoja tuione!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtapigwa kama ngomaMimi ni Simba ila siiamini timu yangu kabisaaaa!
Ila ngoja tuione!
Naona awamu hii wanaficha sana training zao. Sana sana wanapost gym session, kukimbia na zubaishaHuko Egypt wamejificha tu
Simba inahitaji miaka kumi ndo iifunge yangaMnaosema Simba atakula nyingi tar 8, endeleeni kuwa na hayo hayo matarajio. Ila msije mkazirai uwanjani mambo yakiwa tofauti
Basi sawa, pengine wana mbinu nzuri.Naona awamu hii wanaficha sana training zao. Sana sana wanapost gym session, kukimbia na zubaisha
ngoma au magoma?Mtapigwa kama ngoma
Yanga ilikuwa overrated!Yanga wanaruka ruka tu hakuna cha maana wanachokifanya!
Aliyeitwa Mzururaji Uwanjani alipokuwa Kule leo kawa Kwao na Kawabahatisha Wajerumani kabadilika anaitwa Fundi.Hatari sana
Hakika....!!Ndio mpira wetu twendeni nao hivyo hivyo.