FT: Yanga SC 1-2 Fc Augsburg | Mpumalanga cup | Mbombela Stadium | Saturday, 20 July 2024

FT: Yanga SC 1-2 Fc Augsburg | Mpumalanga cup | Mbombela Stadium | Saturday, 20 July 2024

tumejitahidi sana, tulikuwa na uwezo kutoa droo. hivi pacome kwanini huwa hachezi? au yanga wanaona wakimchezesha watapata fine, ana shida gani.
Huyu Pacome na Aucho katika mechi muhimu huwa hawapatikani, ofcz Pacome issue yake ni passport yake imejaa, so immigration huruhusiwi kuingia mgeni kama passport yako imejaa mana watakosa sehemu ya kugonga muhuri, kwahiyo ameenda kwao ku issue passport mpya.
 
Yani sis utopolo tunafungwa na timu haina kombe la UROPA
Sisi utopolo GENGE la wahuni tu 🤣🤣🤣🤣🐸🐸🐸
20240720_181533.jpg

Tunakumbushana
 
Back
Top Bottom