Mycojkhan
JF-Expert Member
- Jul 12, 2024
- 803
- 1,498
Hali ngumu Ndege zinaanguka toKhaa watu wamebetia mpaka mechi za kujipima?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hali ngumu Ndege zinaanguka toKhaa watu wamebetia mpaka mechi za kujipima?
Hahahaha. Sawa boss.Sijifariji kama hata Yanga angeamua anatafuta matokeo usidhani kama hao wajerumani wangepumua.
Hata Yanga wanacheza fair vile vile USITAKE kujiona unajua mpira zaidi.
Amka kumekucha88 Simba anapigwa goli 8-0 na hii Yanga
Sema wanatu alartYanga wanaruka ruka tu hakuna cha maana wanachokifanya!
Natamani sana kuiona Simba ikicheza.Tumeshinda
😂😂 Na wenyewe pia wameona vile uwezo wetu upo.mmewafunga wazungu 😀😀
Eti kipimo sahihiHii mechi ni kipimo sahihi kabisa kwa wachezaji wetu.
Kila la kheri Timu ya Wananchi.
Wenyewe mlijua tunachapika zaidi ya 5. Lol.Anyway, Wamepunguza kelele mjini
Lol. Kwani umeonaje Mtani?Eti kipimo sahihi
Tuchonge ninimakolo kazi kwenu kuchonga
Wanacho sasa Mkuu.makolo kazi kwenu kuchonga