FT: Yanga SC 1-2 Fc Augsburg | Mpumalanga cup | Mbombela Stadium | Saturday, 20 July 2024

mkuu si unasemaga mpira unaujua? umecheza na kuchambua unajua? sasa mbona koments zako hazireflect unayosemaga? unamkumbuka pogba wa juve na pogba wa man u? unamkumbuka messi wa kabla ya pep na mess chn ya pep?
Kwa ajili ya maendeleo ya mpira wetu na kujitathmini kwa ajili ya msimu unaokuja wa 2024/25, tunaomba Simba nayo icheze mechi hata 1 na timu ya ligi kuu ya Misri e.g Al Ahaly, Zamalek na Pyramid. Mechi ioneshwe live.
 
Kwa ajili ya maendeleo ya mpira wetu na kujitathmini kwa ajili ya msimu unaokuja wa 2024/25, tunaomba Simba nayo icheze mechi hata 1 na timu ya ligi kuu ya Misri e.g Al Ahaly, Zamalek na Pyramid. Mechi ioneshwe live.
Hapa kwenye kuonyeshwa live ndio mzozo utakapoanzia.
 
Aziz yule Singida BS yupo Utopolo kwa sasa?
 
Msimu huu Yanga watamaliza ligi bila kupoteza mechi hata moja.

Wekeni akiba ya hii comment yangu. Na mfungaji bora wa kwanza na pili watatoka Yanga.
 
Kwa nini kuwe na mzozo Kiongozi?
Simba wanacheza mechi za kirafiki kisiri siri pasipo kuhabarisha umma matokeo na wamecheza na nani. Tegemea kuona live mechi moja tu ya kirafiki siku ya Simba day basi. Halafu kocha anasema wanacheza mechi za kirafiki kwa dakika 45 hadi 60, inamaana wachezaji waliosajiliwa ni vilaza sana mpaka kocha aenze kuwa kama anafundisha amateur?

Maneno ya kocha wa Simba:๐Ÿ‘‡


View: https://x.com/SimbaSCTanzania/status/1814736572094554250?t=JuaXmS6J3RYe0GgdxGk4Fw&s=01
 
Kwa Mechi za Tanzania. Yanga ni kama Real Madrid, Barcelona au Manchester City. Kwa maneno yako ni uhakika, wanaweza wasipoteze mechi hata moja
Msimu huu Yanga watamaliza ligi bila kupoteza mechi hata moja.

Wekeni akiba ya hii comment yangu. Na mfungaji bora wa kwanza na pili watatoka Yanga.
Ila kwenye mechi za nje ya nchi kama CAF Champion League, CAF Federation, AFL n.k ni kama Ihefu, Pamba, Mtibwa, Majimaji, Gwambina au Mashujaa. Mpaka kuvaa medali za shirikisho kwao ni kama kombe. Tangu nimekua sijawahi kuona timu zaidi ya Yanga inayojitapa kuvaa medali. Timu inajitapa kwa kuishia nusu fainali, kucheza fainali n.k na siyo kuvaa medal. Leo hii nikuuliza Manchester United imechukua medali ngapi. Hautanipa jibu hata uki-google hautapata ila utapata imechukua kombe la ligi mara ngapi, imefika robo au kucheza fainal ya UEFA mara ngapi ila siyo medali. Kwa timu kama ihefu au mashujaa, kuvaa medali kwao ni moja ya mafanikio.
 
Tulivaa medali kwa kucheza fainali ya kombe la shirikisho.

Mwaka huu tulikuwa tunaenda nusu fainali ya CAF CHAMPIONSHIP kama haikuwa "dhuluma" na fitina za refalii.

Msimu unaofuata Yanga itacheza fainali ya CAF CHAMPIONSHIP Tunza maneno yangu mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ