FT: Yanga SC 1-2 Fc Augsburg | Mpumalanga cup | Mbombela Stadium | Saturday, 20 July 2024

Yanga hawana UBAVU, haya majamaa yanacheza objective footbol. Accuracy za pasi na blocking ni kiwango kikubwa kabisa ,na uli michezo wa YANGA wa kurudishwa mpira nyuma na kuanza kwa kipya Leo watakipata
 
Wanajitahidi kujikaza, waombe tu pumzi isikate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…