FT: Yanga SC 1-2 Fc Augsburg | Mpumalanga cup | Mbombela Stadium | Saturday, 20 July 2024

FT: Yanga SC 1-2 Fc Augsburg | Mpumalanga cup | Mbombela Stadium | Saturday, 20 July 2024

Atanunua nani huko?

Angalia tu uwanjani hakuna hata mashabiki ndio uwapime mbali kwenye ishu ya jezi?
Hata huko kwenye vibanda umiza mkuu. Nimeona pre-season match imekuwa na hamasa. Huko RSA hata kama sio kununuliwa,hata kuitangaza tu si haba
 
Match ya leo bila Guede!😣😣😣😣😣
Baleke atarithi mikoba, kwa sasa hatuwezi kumchezesha kwa kuwa bado mambo hayajakamilika, tunaogopa kushtakiwa na ndio maana tunamfichaficha
 
Camera moja imegoma imebidi watumie ya kutokea juu. Wakitumia ile nyingine picha zinakuwa na mawimbi
 
Huyu mtangazaji mpaka sasa ameitaja Simba zaidi ya mara 6
Simba ni brand bila kuitaja yenyewe bidhaa yako haiuziki.

We unafikiri kwanini kwenye cover ya line up ya Yanga wamemuweka Chama?

Kwasababu wanajua huyo ashakuwa branded na Simba kashakua icon ni rahisi kumtumia kwenye mechi dhidi ya wageni kama hizi kwasababu tayari anajulikana.
 
Baka anafanya makukumu yake ya siku zote
 
Back
Top Bottom