FT: Yanga SC 1-2 Fc Augsburg | Mpumalanga cup | Mbombela Stadium | Saturday, 20 July 2024

FT: Yanga SC 1-2 Fc Augsburg | Mpumalanga cup | Mbombela Stadium | Saturday, 20 July 2024

Sasa hizi ni propaganda na ukitaka tufike huko itabidi utupe ushahidi kitu ambacho nahofia huwezi kufanya
Mkuu we shabiki wa simba kweli!?
Si mlicheza na katimu Misri msimu huu kakawalamba 6!?
 
🚨 MABADILIKO YANGA

Bakari nondo MWAMNYETO 👈
Jean Othos BALEKE 👈IN
Chadrack Issaka BOKA 👈 IN
Duke ABUYA👈IN
Azizi ANDWAMBILE 👈 IN


Hallelujah!!!
 
Foul sio kukamia, sometimes unaangalia na mazingira ya foul ilivyofanyika.

Mtu unaweza kujiweka kwenye njia ambapo mtu akikugusa tu inakuwa faulo
Wajerumani wanacheza easy game sana
 
Back
Top Bottom