Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YametimiaKila la heri Augsburg
Leo nathanael Mbuku na phillip tietz lazima wakamsalimie diara
Jifariji tu ila hao jamaa wakiamua ile yenyewe, magoma anakana haijui Yanga.Sio watoto hao.
Unawajua watoto wewe!?
Watoto ni team B,hapo kuna mchezaji wa team B!?
Wote team A japo wengi sio first 11.
Kila mtu anatest kikosi hii sio die hard match.
😁😂Nilisikia Dube kaingia, au?
Unamaanisha lucky dube?Nilisikia Dube kaingia, au?
Amegusa mpira mara nne tuNilisikia Dube kaingia, au?
uto bwana ati kuna mashabiki walikua wanaingojea kwa hamu mechi wakiamini wataifunga au kudroo augsburg. akili kweli sio kwa kila mtuJifariji tu ila hao jamaa wakiamua ile yenyewe, magoma anakana haijui Yanga.