FT: Yanga SC 1-3 APR FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 07/01/2024

FT: Yanga SC 1-3 APR FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 07/01/2024

Mbona naskia kuwa wanetu wamepata goli 2 halafu scoreboard ya JF inasema 1-1?
Makolokolo mmejaa tele kuiombea Yanga ishinde afu mje mjilipizie kisasi kindezi ndezi tu cha 5G ilihali Wachezaji zaidi ya watano wa first 11 Yanga wako Misri, pambaneni na hali zenu [emoji848][emoji4]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
😀😀 kiko wapi?
1704652698149.png
 
Makolokolo mmejaa tele kuiombea Yanga ishinde afu mje mjilipizie kisasi kindezi ndezi tu cha 5G ilihali Wachezaji zaidi ya watano wa first 11 Yanga wako Misri, pambaneni na hali zenu [emoji848][emoji4]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Napita zangu nilikuwa nakupa hai tu
 
Huyu kocha naye boya tu. Yaani wachezaji kibao tu hawapo hata sub!! Kuanzia Sure Boy, Mkude! Ngushi aliyefunga magoli mawili mechi ya kwanza, leo yuko nje!!
Halafu anavianzisha vitoto vya timu B kwenye hatua ya robo fainali!! Hawa APR ni wa kawaida sana. Sema tu kocha masihara mengi.
 
Back
Top Bottom