Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 2,470
- 7,376
Wandewa wameingia, Mashabiki wa Apr tunakutana wapi kusherehekea ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha vhtoto vicheze vipate experienceHuyu kocha naye boya tu. Yaani wachezaji kibao tu hawapo hata sub!! Kuanzia Sure Boy, Mkude! Ngushi aliyefunga magoli mawili mechi ya kwanza, leo yuko nje!!
Halafu anavianzisha vitoto vya timu B kwenye hatua ya robo fainali!! Hawa APR ni wa kawaida sana. Sema tu kocha masihara mengi.
Kheri ya mwaka mpya Nifah , muache kipara apumzike usiku huuSijui Gamondi anampendeaga nini Mauya?
Si mchezajiSijui Gamondi anampendeaga nini Mauya?
Trust process broHuyu kocha naye boya tu. Yaani wachezaji kibao tu hawapo hata sub!! Kuanzia Sure Boy, Mkude! Ngushi aliyefunga magoli mawili mechi ya kwanza, leo yuko nje!!
Halafu anavianzisha vitoto vya timu B kwenye hatua ya robo fainali!! Hawa APR ni wa kawaida sana. Sema tu kocha masihara mengi.
Kula chuma hiyoDuh aiseee
Wanapigwa cha 3.nyingi sana yanga wakituliza shanga wanachomoa
Huyu kocha naye boya tu. Yaani wachezaji kibao tu hawapo hata sub!! Kuanzia Sure Boy, Mkude! Ngushi aliyefunga magoli mawili mechi ya kwanza, leo yuko nje!!
Halafu anavianzisha vitoto vya timu B kwenye hatua ya robo fainali!! Hawa APR ni wa kawaida sana. Sema tu kocha masihara mengi.
Hii mechi tunalala. Hakuna maajabu hapa.Full time
2 -2
Tutaona1-3 ft
Hawa ni bure kabsa ili bidi wawe na chuma 4+Hawa APR ni wazembe, walitakiwa kujipigia haya majitu ya hovyo
Sii mchezaji wa yanga jamniSijui Gamondi anampendeaga nini Mauya?