FT: Yanga SC 1-3 APR FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 07/01/2024

Huyu kocha naye boya tu. Yaani wachezaji kibao tu hawapo hata sub!! Kuanzia Sure Boy, Mkude! Ngushi aliyefunga magoli mawili mechi ya kwanza, leo yuko nje!!
Halafu anavianzisha vitoto vya timu B kwenye hatua ya robo fainali!! Hawa APR ni wa kawaida sana. Sema tu kocha masihara mengi.
acha vhtoto vicheze vipate experience
 
Huyu kocha naye boya tu. Yaani wachezaji kibao tu hawapo hata sub!! Kuanzia Sure Boy, Mkude! Ngushi aliyefunga magoli mawili mechi ya kwanza, leo yuko nje!!
Halafu anavianzisha vitoto vya timu B kwenye hatua ya robo fainali!! Hawa APR ni wa kawaida sana. Sema tu kocha masihara mengi.
Trust process bro
 
Nenda wewe kawe kocha
 
Back
Top Bottom