Umemuombea njaa adui au sioRefaaa maliza mpira kuna mvua huku Igoma
Makolokolo mmejaa tele kuiombea Yanga ishinde afu mje mjilipizie kisasi kindezi ndezi tu cha 5G ilihali Wachezaji zaidi ya watano wa first 11 Yanga wako Misri, pambaneni na hali zenu [emoji848][emoji4]Mbona naskia kuwa wanetu wamepata goli 2 halafu scoreboard ya JF inasema 1-1?
Nasikiaga tu kuwa APR ni vibonde wa Yanga, hivi ni kweli?Hii imeenda🤣😂😁
Napita zangu nilikuwa nakupa hai tuMakolokolo mmejaa tele kuiombea Yanga ishinde afu mje mjilipizie kisasi kindezi ndezi tu cha 5G ilihali Wachezaji zaidi ya watano wa first 11 Yanga wako Misri, pambaneni na hali zenu [emoji848][emoji4]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Nimesema mimi
👋Yanga atafungwa 2,APR atafungwa 1