Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Nimefurahi sana ingawa tangu michuano ianze hadi sasa hivi sijawahi kuitazama kabisa.Bora kufungwa na Apr sio Makolo
Haya hao ambao ni waziri kiko wapi?Ina maana Mzize na Zengeli huwa hawapati nafasi kwenye first eleven? Umbumbumbu ni mzigo! Wachezaji huanza 11 kwa sababu hiyo ndiyo idadi inayotakiwa. Haina maana kwamba ambao hawajaanza so waziri. Ndiyo maana huwa inawezekana kufanya "rotation". Msianze kutafuta visingizio mtakapokandwa.
Sema Uto mnakoswaApr wanakosa nafasi ya wazi
na wengine wapo likizoMakolokolo mmejaa tele kuiombea Yanga ishinde afu mje mjilipizie kisasi kindezi ndezi tu cha 5G ilihali Wachezaji zaidi ya watano wa first 11 Yanga wako Misri, pambaneni na hali zenu [emoji848][emoji4]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Mungu ibariki APREeee Mungu wasaidie Yanga washinde [emoji2356][emoji2356][emoji2356]
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
SawaHata Maghayo na genge lake wakivaa Uzi wa Yanga Makolo + APR hawatoki na ushindi..
Poke sana. Hakuna timu ya kushinda hapa. Maana siku zote ngoma ya watoto haikeshi.Eeee Mungu wasaidie Yanga washinde [emoji2356][emoji2356][emoji2356]
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Mbumbumbu yanakaza mafuvu leo hii kutuombea ushindi, tangu lini mbuzi wakachangamana na fisi, kweli wanafki wengi sana Bongo........[emoji848][emoji1787]na wengine wapo likizo
nyingi sana yanga wakituliza shanga wanachomoaBado dakika 26' mpira uishe