FT: Yanga SC 1-3 APR FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 07/01/2024

Pamoja na kufungwa na Ihefu au huko Algeria juhudi zilionekana kweli kweli.
Unaona kabisa hapa timu inatafuta goli.
Hicho kitu umekiona hapo uwanjani leo?
 
Yanga anamkimbia simba.
 
Gamond anapaswa afukuzwe ni mpambavu Sana, yaani watu wameacha shughuli zao kuja kudhalilika na kitimu Kama APR, viongozi ni wapuuzi sana.
Aliyesema APR hairuhusiwi kufunga ni nani? Kuna sehemu wametia saini!!! Maumivu njoooo. Plesha hizo mnajitakiaga wenyewe. Si bora mtafute starehe zingine. Mi bora nifurahie comments za FaizaFoxy
 
Huko si ananunua mechi.
 
Mkuu ni kweli Yanga wametaka kutoka...hata zile sub za kina Skudu ni ujanja ujanja tu.....hata wenye mashindano wameuma midomo maana Yanga wanawaperemba tu.......Inshort matokeo wamepanga Yanga
Sasa kama Yanga walikuwa na nina ya kutoka kwenye mashindano kwanini wasifanye hivo kwa mechi za makundi, kwanini waje kufanya makusudi kujitoa hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afu sijui ninan aliye waaminisha UTO kuwa mpira unaendana na mdomo mdomo??????

[emoji23][emoji23] SIJUI NACHEKA NINI KWANI ZANZIBAR UROJO UMEMWAGIKA..?[emoji174]
hakuna wa kulaumu ni mpira tu huo,mbona wakishinda tunafurahi
 
Skudu na Lomalisa waliumia?
Umeangalia mpira?

Ulishawaona Yanga wakitafuta goli?
Kwa hiyo hujaona shekhan akipiga foul kwa ufundi na kipa kuokoa? Hujaona shekhan akipiga shuti na kugonga mwamba? Hujaona mzize akipiga shuti kali kwa mguu wa kushoto na kipa kuokoa? Wacha kujifariji. Mmepigwa kwa kuzidiwa.
 
Aliyesema APR hairuhusiwi kufunga ni nani? Kuna sehemu wametia saini!!! Maumivu njoooo. Plesha hizo mnajitakiaga wenyewe. Si bora mtafute starehe zingine. Mi bora nifurahie comments za FaizaFoxy
Kuna mahali nimeandika APR hawastahili kufunga?. Wewe kabemendwe na hilo jibibi!.
 
Kwa hiyo hujaona shekhan akipiga foul kwa ufundi na kipa kuokoa? Hujaona shekhan akipiga shuti na kugonga mwamba? Hujaona mzize akipiga shuti kali kwa mguu wa kushoto na kipa kuokoa? Wacha kujifariji. Mmepigwa kwa kuzidiwa.
Tutabishana hadi kesho hapa.

Hebu cheki game Yanga aliyofungwa na Ihefu.
Utizame na hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…