Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
Nimeamini uchawi upoYanga hawezi kufika finally, trust me
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeamini uchawi upoYanga hawezi kufika finally, trust me
Naanda kamati ya roho mbaya, yaani mwezi huu mpaka hilo pala lake liote nywele.Hapo hatujai. 🤣🤣🤣
Unanunua mechi club bingwa?Huko si ananunua mechi.
Unaweza kudhani nazungumza kishabiki....ni rahisi kuwa emotional kuliko rational
Haitafanikiwa.Naanda kamati ya roho mbaya, yaani mwezi huu mpaka hilo pala lake liote nywele.
Kumbe na skundu alianza??[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi Denis Nkane ni majeruhi?Jana kwenye press kocha msaidizi wa yanga alisema " kesho tunaingia na kikosi bora, kwetu sisi ushindani katika hii michuano unaanza rasmini, wachezaji wote wako vizuri ""
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hoja
Akajiumiza 🤣🤣Kumbe na skundu alianza??😂😂😂
Subiri ujionee huyu kipara analeta upuuzi.. sisi ni wakulala saa 4 kisa APR kabisa?. Gamond ni Bata asee.Haitafanikiwa.
Maybe apoteze game 2 tu za ligi.
Nitajiunga na wewe
😂😁Naanda kamati ya roho mbaya, yaani mwezi huu mpaka hilo pala lake liote nywele.
Ni mshenzi sanaSubiri ujionee huyu kipara analeta upuuzi.. sisi ni wakulala saa 4 kisa APR kabisa?. Gamond ni Bata asee.
😂😁😁😁😁😁😁Leo gamondi kazinguaMkuu nakuheshimu!!, Nilivyochukia naweza kutuma mizimu yangu ikashusha busha!.
Huu mchezo ni wa benchi lote la ufundi jumlisha na kina Hersi SaidSubiri ujionee huyu kipara analeta upuuzi.. sisi ni wakulala saa 4 kisa APR kabisa?. Gamond ni Bata asasee.
Sasa jamani yule mauya anhaaaa Dunia hii mhh...🙌🙌🙌😅😂😁😁😁😁😁😁Leo gamondi kazingua
Yule ni wa kumuacha tuSasa jamani yule mauya anhaaaa Dunia hii mhh...🙌🙌🙌😅