FT: Yanga SC 1-3 APR FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 07/01/2024

FT: Yanga SC 1-3 APR FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 07/01/2024

Kuna mahali nimeandika APR hawastahili kufunga?. Wewe kabemendwe na hilo jibibi!.
We jitie wazimu hapo. Sasa unalalamika kwamba mmefungwa ili iweje? Si ungewafata wachezaji walipo! Hupajui? Liache linibemende,na wewe endelea kubemendwa na hasira za timu usiochezea wala kuisapoti. Daadeki
 
Ina maana Mzize na Zengeli huwa hawapati nafasi kwenye first eleven? Umbumbumbu ni mzigo! Wachezaji huanza 11 kwa sababu hiyo ndiyo idadi inayotakiwa. Haina maana kwamba ambao hawajaanza so waziri. Ndiyo maana huwa inawezekana kufanya "rotation". Msianze kutafuta visingizio mtakapokandwa.
unaeza mweka bench Messi kwenye mechi muhimu kisa unataka wenginr wacheze bila kujali kiwango chake
 
Hii APR ndio ile waliyoisumbua simba? Mpaka simba wakaweka full squad isitoshe mpaka wakamuita onana ambaye alikuwa hayupo substitution lakini waka suluhu.
Leo wanacheza na yanga B tena wamefungwa na moloko!!
kumbe Yanga wameshinda?
 
Hahahaha. Sikuangalia mechi
 
Hii game ilikuwa sio ya kumuita yao,aucho wala pacome,ni matumizi mabaya ya nguvu.
Hii mechi ni ya vijana chipukizi lakini simba a.k.a makolo Mbumbumbu wakapanga first eleven na bado wakatoa suluhu.
tupe matokeo hapo
 
Back
Top Bottom