Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Yanga ndio timu ya tatu Afrika.
1. Al-Ahly
2. Memolod Sundawn
3.Yanga Yangu
Sisi Simba ni wa 50 Afrika
1. Al-Ahly
2. Memolod Sundawn
3.Yanga Yangu
Sisi Simba ni wa 50 Afrika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haahahaaa nacheka utadhan mazuriChama langu, chama kubwa.
All the Best
Tuwakamue kipindi cha kwanza tu
We jitie wazimu hapo. Sasa unalalamika kwamba mmefungwa ili iweje? Si ungewafata wachezaji walipo! Hupajui? Liache linibemende,na wewe endelea kubemendwa na hasira za timu usiochezea wala kuisapoti. DaadekiKuna mahali nimeandika APR hawastahili kufunga?. Wewe kabemendwe na hilo jibibi!.
unaeza mweka bench Messi kwenye mechi muhimu kisa unataka wenginr wacheze bila kujali kiwango chakeIna maana Mzize na Zengeli huwa hawapati nafasi kwenye first eleven? Umbumbumbu ni mzigo! Wachezaji huanza 11 kwa sababu hiyo ndiyo idadi inayotakiwa. Haina maana kwamba ambao hawajaanza so waziri. Ndiyo maana huwa inawezekana kufanya "rotation". Msianze kutafuta visingizio mtakapokandwa.
hahaaa naona leo umelala vzr shabiki mkongwe wa APRApr shabiki mkongwe kabisa nipo hapa
rudi utupe mrejesho bossSimba yetu mbovu sana,leo pamoja na hiki kikosi cha yanga APR waliowasumbua Simba wanaonekana hawajui kabisa
yanaendelea vzreeeee , vp yako weye apo msikiti wa mtambanMaombi yako yanaendeleaje hapo kwa Mwamposa?
kumbe Yanga wameshinda?Hii APR ndio ile waliyoisumbua simba? Mpaka simba wakaweka full squad isitoshe mpaka wakamuita onana ambaye alikuwa hayupo substitution lakini waka suluhu.
Leo wanacheza na yanga B tena wamefungwa na moloko!!
tupe matokeo hapoHii game ilikuwa sio ya kumuita yao,aucho wala pacome,ni matumizi mabaya ya nguvu.
Hii mechi ni ya vijana chipukizi lakini simba a.k.a makolo Mbumbumbu wakapanga first eleven na bado wakatoa suluhu.
hahahaaaaaUsiwe mgumu kuelewa
hahahaaaAPR=IHEFU
hahahaaaaaKesho boti ya saa 1 asubuhi inatuhusu
hahahaaaaMbona naskia kuwa wanetu wamepata goli 2 halafu scoreboard ya JF inasema 1-1?
hahahahaaaaaRefaaa maliza mpira kuna mvua huku Igoma
mmestukia mchezo hahahaaaMakolokolo mmejaa tele kuiombea Yanga ishinde afu mje mjilipizie kisasi kindezi ndezi tu cha 5G ilihali Wachezaji zaidi ya watano wa first 11 Yanga wako Misri, pambaneni na hali zenu [emoji848][emoji4]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
🤣😁😁Simba hatuachi kombe lolote... Hata walete kombe mavii tunabeba
ahahahaaaaGamondi toa mauya ingiza Kibu deee
hahahaaaaaawa APR wapo serious na kazi yao kweli