Kikosi c hadi kibabage,mzinze,moloko,lomalisa,skudu wapo??Acha uRage Simba alifungwa APR wapi!?
Simba alitoa sare ya bila bila...
Yanga ni Kikosi C ndicho kinafungwa na APR.
Uto si tu kwamba wamefungwa Bali waeoneshwa jisi soka linavyochezwa!Kinda Mzize aliyeshindwa kutamba mbele ya Shibooub
NGamondi ameona isiwe shida Hana wachezaji tegemezi 11 ! Na ratiba za michezo Tz wakati mungine zipo kisiasa na zinaingiliana na programu zake katumia ufundi wake yanga kuondoka mapinduzi kimya kimya bila lawama au kujitoa na bila kusumbuana na azam na simba .
Lakini Yule dogo Wilson chigomba na shekhan wanaupiga mwingi !
Kwani yanga huwa wanatafutaje goal? Acha ubwege na kudhalilisha wachezaji wetu. Wamefungwa ni matokeo ya mpira we kilaza. Kama hawakuwa wakitafuta goal walishindaje la kwanza na ilikuaje walikuwa wanaenda kushambulia?Skudu na Lomalisa waliumia?
Umeangalia mpira?
Ulishawaona Yanga wakitafuta goli?
We dada acha uongo.Whatever! Ila hii game Yanga hawakutaka kushinda.
Tulikuwa serious bahati haikuwa yetu. Acha kudhalilisha teamIn short Yanga hawakuwa serious na haya mashindano
Hakuna kitu kapigwa tuu kazidiwa mbinu na APR. Na kwa kiburi kama hiki hii timu itaendelea kutia aibu. Timu Ina machawa wengi kuliko wachezaji wanabwabwaja tuu kwenye mitandao Haina loloteGamondi ameona isiwe shida Hana wachezaji tegemezi 11 ! Na ratiba za michezo Tz wakati mungine zipo kisiasa na zinaingiliana na programu zake katumia ufundi wake yanga kuondoka mapinduzi kimya kimya bila lawama au kujitoa na bila kusumbuana na azam na simba .
Lakini Yule dogo Wilson chigomba na shekhan wanaupiga mwingi !
Gamondi = Robertinho kama unabisha bishaSubiri ujionee huyu kipara analeta upuuzi.. sisi ni wakulala saa 4 kisa APR kabisa?. Gamond ni Bata asee.
Kabiisa.ashibishe uzi
Mtani hii tag nililitegemea eti. Lol. π
Kwa hiyo Mtani hapo kombe lenu eee?Zimebaki Dakika 8'
Utopwinyox warudi zao daslam
Hawakuwa seriously halafu wakapeleka timu ππππIn short Yanga hawakuwa serious na haya mashindano
Heee! Mtani mtani usisahau kila muosha huoshwa eti.Teh teh teh teh ππππ Kiko wapi Sasa......
Nakala iwafikie Carleen Shadeeya Nifah ukikaidi utapigwa2 zipompa Tate Mkuu Evelyn Salt .....
View attachment 2865027