FT: Yanga SC 1-3 APR FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 07/01/2024

Mmepigwa za uso

Mmekalia 3 hakuna kisingizio hapa. Ndiyo APR wabovu hao.

Usisahau iliyofungwa ni Yanga. Na kocha wake ni Gamondi.
 
Kwani yanga huwa wanatafutaje goal? Acha ubwege na kudhalilisha wachezaji wetu. Wamefungwa ni matokeo ya mpira we kilaza. Kama hawakuwa wakitafuta goal walishindaje la kwanza na ilikuaje walikuwa wanaenda kushambulia?
Sawa bosi
 
Wacha bana...mimi mbona zile 5 sikulia...
mpira jana uliwakondesha ghafla... πŸ˜† πŸ˜†
Jana usiku nimeishia kula bia tu huku na kulia 🀣😁😁😁😭😭😭
 
Hakuna kitu kapigwa tuu kazidiwa mbinu na APR. Na kwa kiburi kama hiki hii timu itaendelea kutia aibu. Timu Ina machawa wengi kuliko wachezaji wanabwabwaja tuu kwenye mitandao Haina lolote
Makosa wakifanya wachezaji utamlaumu kocha ?
Hata aje pep guardiola au mokwena wa mamelodi au Thomas tuchel wa Bayern matokeo yatakuwa hayo hayo uwezo wa Baadhi ya wachezaji ni Mdogo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…