FT: Yanga SC 1-3 APR FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 07/01/2024

FT: Yanga SC 1-3 APR FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 07/01/2024

Gamondi ameona isiwe shida Hana wachezaji tegemezi 11 ! Na ratiba za michezo Tz wakati mungine zipo kisiasa na zinaingiliana na programu zake katumia ufundi wake yanga kuondoka mapinduzi kimya kimya bila lawama au kujitoa na bila kusumbuana na azam na simba .
Lakini Yule dogo Wilson chigomba na shekhan wanaupiga mwingi !
Mmepigwa za uso

Mmekalia 3 hakuna kisingizio hapa. Ndiyo APR wabovu hao.

Usisahau iliyofungwa ni Yanga. Na kocha wake ni Gamondi.
 
Sikuwepo ndo nimekuja asubui hii mtani..poleni ..
Kinehe?
Asante. Afadhali hata hukuwepo maana mh!

Mhola dūhū 😁

Screenshot_20240108_102744_WhatsApp.jpg
 
Kwani yanga huwa wanatafutaje goal? Acha ubwege na kudhalilisha wachezaji wetu. Wamefungwa ni matokeo ya mpira we kilaza. Kama hawakuwa wakitafuta goal walishindaje la kwanza na ilikuaje walikuwa wanaenda kushambulia?
Sawa bosi
 
Wacha bana...mimi mbona zile 5 sikulia...
mpira jana uliwakondesha ghafla... πŸ˜† πŸ˜†
Jana usiku nimeishia kula bia tu huku na kulia 🀣😁😁😁😭😭😭
 
Hakuna kitu kapigwa tuu kazidiwa mbinu na APR. Na kwa kiburi kama hiki hii timu itaendelea kutia aibu. Timu Ina machawa wengi kuliko wachezaji wanabwabwaja tuu kwenye mitandao Haina lolote
Makosa wakifanya wachezaji utamlaumu kocha ?
Hata aje pep guardiola au mokwena wa mamelodi au Thomas tuchel wa Bayern matokeo yatakuwa hayo hayo uwezo wa Baadhi ya wachezaji ni Mdogo .
 
Back
Top Bottom