FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

Yaani leo Uto msinde hii game hata bao moja na msilazimishe kutafuta mabao mengi hapana kwani mutawafanya wachezaji kuwa na pressure muhimu ni point tu vinginevyo mtasumbuka sana.
Naona mmekaa standby.
 
Sasa jiulize nani ana mdomo na kihelehele kati ya mikia na Yanga. Huu Uzi mmekimbilia kuuanzisha nyie kama wenu. Tatizo jana mmekimenya kitimu kutoka ligi mbovu Guinea. Basi mmekuwa kama machiz sasa mnarukia rukia tu chochote. Mna mioyo miepesi
Hamshindi leo nimekaa pale
 
View attachment 2557448

Wananchiiiiiiiiiìiiiiiiiiii
Usiku wa deni haukawii kukuchwa. Leo ndiyo ile siku tuliyoisubiri kwa hamu kwa Yanga kukata tiketi ya kutinga robo fainali ya michuano ya CAFCC....
Unachokifanya si kizuri! Naomna wahusika waufute uzi huu. Wewe ni mshabiki wa Simba acha wenye Yanga yao waendelee kama jana walivyowaheshimuni
 
Haya Gongowazi SC[emoji196] اليوم هو يومك لتلقي ضربة قاسية منهم US Monastir
Ng'waunarang'walirawang'wara Makolokolo/Mbumbumbu/Malalamiko/Manyaunyau/Madunduka/Makelele/Mipang'ang'a/Mikia/Zuwena/Kolowizards/Ngada/Kinyume nyume FC [emoji847]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kilaa kheri timu yenye mafanikio zaidi kutoka ukanda wa Afrika mashariki.

𝙁𝙪𝙡𝙡 𝙝𝙤𝙪𝙨𝙚,,𝙁𝙪𝙡𝙡 𝙨𝙝𝙖𝙣𝙜𝙬𝙚,𝙬𝙖𝙟𝙚 𝙩𝙪𝙢𝙖𝙡𝙞𝙯𝙖𝙣𝙚.[emoji3448][emoji169][emoji172].
 
Unachokifanya si kizuri! Naomna wahusika waufute uzi huu. Wewe ni mshabiki wa Simba acha wenye Yanga yao waendelee kama jana walivyowaheshimuni
Kama kuna Yanga mwenye ujasiri wa kuanziasha Uzi anyoshe mkono..shukuruni tu tumewasaidia...kulia au kucheka kupokezana..jana Simba wameanzisha uzi wao ukavamiwa na Wana Utopolo kwa jina la Horoya fan..kipi kigeni?!
 
Hebu lia kimya kimyaa, sisi hatutaki kelele zenu hapa,
Monastir wana wasubiri hukoo, simba hatuhusiki na sio shida zetu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Poleeeeeeniiiiii
 
Duuh muanzisha Uzi anamuhao anadhani leo tutapata matokeo yasiyo mazuri..........


Daima mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…