FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

Hongereni watani wa jadi. Matokeo yakibaki hivi hadi mwisho,Tayari mmeshatinga robo fainali. TP Mazembe kashapigwa goli mbili huko.
Tutaongoza Kwa muda mpaka mechi za mwishoni,tukimfunga TP Mazembe na Monastir akishinda magoli machache kuliko sisi hapo sawa
 
Tp Mazembe huko aliko hata asihangaike kukaza msuli kutafuta bao la kusawazisha au kufunga kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…