FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

Mliopo dar/taifa mnafaidi sana kwanza burudani safi kabisa kutoka kwa Asumoney tajiri Dj AllyB alaf kubwa kuliko burudani za uwanjani kutoka kwa chama kubwa Dar YOUNG AFRICAN FC....

Naseeeeeemaje naseeeeeemaje Burudani iendeleee kula bom[emoji378][emoji378]
Screenshot_2023-03-19-20-27-08-74_6012fa4d4ddec268fc5c7112cbb265e7.jpg
 
Yaani leo Uto mshinde hii game hata bao moja na msilazimishe kutafuta mabao mengi hapana kwani mutawafanya wachezaji kuwa na pressure muhimu ni point tu vinginevyo mtasumbuka sana.
🙄
 
Local players wetu wajifunze commitment za foreign players Yanga, simba + Azam...

Haya mashindano wenzetu Wakongo na Wazambia wako sokoni
Nakubaliana nawe! I wish leo wote wangekuwa Wazawa
 
Yeye alianzisha ili aanze kuichamba Yanga. This is not fair. Angeanzisha baada ya matokeo. Huo ndiyo ukomavu.
Hata kuanzisha uzi kwa kuichamba Yanga nayo ni fair na ndio maana unaweza kumkuta shabiki wa Yanga kaenda taifa na jezi ga Yanga halafu anashangilia timu pinzani inayocheza na Simba

Huo ndio mpira, kila mtu anaangalia kile kinachoweza kumpa furaha
 
Kama wanaume kweli mpigeni mtu saba,, tupo palee
 
Back
Top Bottom