FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

Unajua uungwana ni ku declare interest! Hakupaswa kuanzisha huu uzi! Yeye ni mnazi wa simba.
Hapana, Mkuu, hii si mara ya kwanza kwa OKW BOBAN SUNZU kuanzisha nyuzi Yanga inapocheza.
KWa muda mrefu Yanga wamekua wazito sana kuanzisha nyuzi pia wepesi kuzikimbia, hivyo waanzishaji wakubwa wa nyuzi zao inapochezesha huwa ni washabiki wa Simba hawahawa akina OKW BOBAN SUNZU , Scars na wengineo na ndiyo huwa muda mwingi wanakuwepo kuzisindikiza na kuzichangamsha nyuzi za Yanga.
 
Yaani leo Uto mshinde hii game hata bao moja na msilazimishe kutafuta mabao mengi hapana kwani mutawafanya wachezaji kuwa na pressure muhimu ni point tu vinginevyo mtasumbuka sana.
Tunatafuta matatu tu, 🤔 Sio ile rede mliyocheza jana😂
 
Back
Top Bottom