[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mafanikio kombe la NBC??Kilaa kheri timu yenye mafanikio zaidi kutoka ukanda wa Afrika mashariki.
ππͺπ‘π‘ ππ€πͺπ¨π,,ππͺπ‘π‘ π¨πππ£ππ¬π,π¬πππ π©πͺπ’ππ‘ππ―ππ£π.[emoji3448][emoji169][emoji172].
Kwani nani kamuomba mleta Uzi kuanzisha Uzi? Yanga inafuatiliwa zaidi na wasio wanaYanga ndiyo maana tuwaacha maana tunajua wataanzishaKama kuna Yanga mwenye ujasiri wa kuanziasha Uzi anyoshe mkono..shukuruni tu tumewasaidia...kulia au kucheka kupokezana..jana Simba wameanzisha uzi wao ukavamiwa na Wana Utopolo kwa jina la Horoya fan..kipi kigeni?!
Umejitolea kuwafungulia uzi au wamekuomba?...πππView attachment 2557448
Wananchiiiiiiiiiìiiiiiiiiii
Usiku wa deni haukawii kukuchwa. Leo ndiyo ile siku tuliyoisubiri kwa hamu kwa Yanga kukata tiketi ya kutinga robo fainali ya michuano ya CAFCC.
Saa moja jioni mbivu na mbichi kujulikana. Tupo hapa kuisubiri saa 1 jioni ili tumalizane.
Mimi na wenzangu tupo hapa kukupa updates kinachojiri kabla, wakati na baada ya mechi. Usiondoke
Mnatamani mechi iwee saaa saba mnaona kama inachelewa.Hebu lia kimya kimyaa, sisi hatutaki kelele zenu hapa,
Monastir wana wasubiri hukoo, simba hatuhusiki na sio shida zetu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Poleeeeeeniiiiii
Simba hii hii iliyocheza juzi na Waarabu Raja Casablanca au ile ya akina Miquissone [emoji848][emoji3]Baadae nisisikie kelele za waarabu ni wagumu sijui nini na nini... hata mnyama alishawatandika waarabu hapo taifa vizuri sana tu.
Nachomaanisha, sitaki visingizio.
Yeyote anaruhusiwa kuanzisha uzi wa timu yeyote hata angekuwa mshabiki wa Azam au Ihefu bado hakuna kosa jukwaa huru hiliUnachokifanya si kizuri! Naomna wahusika waufute uzi huu. Wewe ni mshabiki wa Simba acha wenye Yanga yao waendelee kama jana walivyowaheshimuni
πππ€£ππTuwaombee ndugu zetu Monastir watuwakilishe vyema.... Uzalendo kwanza
Ushindi ndio jadi yetuView attachment 2557448
Wananchiiiiiiiiiìiiiiiiiiii
Usiku wa deni haukawii kukuchwa. Leo ndiyo ile siku tuliyoisubiri kwa hamu kwa Yanga kukata tiketi ya kutinga robo fainali ya michuano ya CAFCC.
Saa moja jioni mbivu na mbichi kujulikana. Tupo hapa kuisubiri saa 1 jioni ili tumalizane.
Mimi na wenzangu tupo hapa kukupa updates kinachojiri kabla, wakati na baada ya mechi. Usiondoke
Wanalalamika eti sio sawa nitafungisha. Kwani mi nacheza namba ngapiUmejitolea kuwafungulia uzi au wamekuomba?...πππ
Kila laheri wawakilishi wa Tz kwenye CAFCC.
Halafu Jana nmeona mipira iliyokua inatumika ni Ile iliyoandikwa Simba kwa makapen sijawah kuliona hili hivi ni maagizo au Kuna utaratibu gani kuhusu mipira inayotumika uwanjanYanga anashinda leo.
Ila tunahofia zile tunguli za jana hatuna uhakina kama walirogwa Horoya pekeyao, zisije kutudhuru sisi wananchi.
Mje muondoe vitu vyenu hapa kwa Mkapa. Wananchi tunataka kuutumia ule wembe tulioutumia kwa Zalan.
Leo na nyie nendeni mkaiandike Yanga, ili zile goli saba zijirudie.Halafu Jana nmeona mipira iliyokua inatumika ni Ile iliyoandikwa Simba kwa makapen sijawah kuliona hili hivi ni maagizo au Kuna utaratibu gani kuhusu mipira inayotumika uwanjan