FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

Ila watu wanachekesha

Kwani sisi tunacheza kwenye uwanja mkavu?
Si ni huohuo uliolowa
Makolo tulieni


Mpira mzuri upo yanga
Pira biriani
Pira Pizza
Pira Kama lote

Wananchiiii [emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji91]
Pira majimaji na topeeeee
 
Usipoteze muda wako mkuu,Hawa Wana wivu na Yanga Kwa kuwa anazifunika zile tambo zao za wao kuwa ni wakimataifa peke yao
Hawaamini mwarabu kafa nyumbani
 
Ndiyo kichaka kilichobaki na nacho ipo siku tutakichoma
Hongereni sana
Kwanini mechi za away huwa hamshindi? Mpaka sasa mechi ya away ni mmoja tu mlishinda
Kuna jamaa mmoja wa Yanga alisema " Uwanja atakaocheza Simba, Yanga akicheza lazima ashinde"
Mpaka sasa nimeamini. Huyu monastri kwanini msingemfunga kwao na hapa akala dozi kama bamako?
 
Usipoteze muda wako mkuu,Hawa Wana wivu na Yanga Kwa kuwa anazifunika zile tambo zao za wao kuwa ni wakimataifa peke yao
Hawaamini mwarabu kafa nyumbani
Jana mlikua mnaponda hivi hivi leo sisi mnatuambia tuna wivu jamani..kaeni na nyie tuwakereeee..tuwakosoee mpk mkome πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Usipoipenda Yanga wewe ni mchawi... πŸ‘‹πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°
 
Wanatembelea nyota ya mnyama
 
Walikaa tayari, wakijua tunapoteza...
Hawaamini macho yao, wamepoteana...
πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°
 
Simba yupo ligi ya mabingwa alikuwa mshindi wa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…