FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

Usipoteze muda wako mkuu,Hawa Wana wivu na Yanga Kwa kuwa anazifunika zile tambo zao za wao kuwa ni wakimataifa peke yao
Hawaamini mwarabu kafa nyumbani
Wivu gani ndugu?
Unamuonea wivu mtu anayecheza shirikisho? Unaendesha BMW halafu unamuonea wivu anayeendesha bajaji?
Jamaa wa Yanga alisema "Uwanja atakaocheza simba, yanga akicheza atashinda" Yanga ameshinda mechi ngapi za away? Simba mechi za away ameshinda ngapi?
Mkibadilisha kiwanja tu au mtangulie kucheza habari yenu imeishia hapo.
 
Ungekuwa huna wivu usingekuwa hapa
Hicho kichaka cha CL tunakichoma moto rasmi kuanzia mwezi wa nane mwaka huuu
 
Uko wapi

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Jamaa wa Yanga alisema "uwanja atakaocheza simba, yanga akicheza atashinda"
1. Yanga ameshinda mechi ngapi za away?
2. Simba ameshinda mechi ngapi za away?
3. Mlishindwaje kuifunga bamako na monastir kwao?
Utakuja shangaa T.P mazembe mnaotoka nao droo kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…