FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

Usipoteze muda wako mkuu,Hawa Wana wivu na Yanga Kwa kuwa anazifunika zile tambo zao za wao kuwa ni wakimataifa peke yao
Hawaamini mwarabu kafa nyumbani
Wivu gani ndugu?
Unamuonea wivu mtu anayecheza shirikisho? Unaendesha BMW halafu unamuonea wivu anayeendesha bajaji?
Jamaa wa Yanga alisema "Uwanja atakaocheza simba, yanga akicheza atashinda" Yanga ameshinda mechi ngapi za away? Simba mechi za away ameshinda ngapi?
Mkibadilisha kiwanja tu au mtangulie kucheza habari yenu imeishia hapo.
 
Ungekuwa huna wivu usingekuwa hapa
Hicho kichaka cha CL tunakichoma moto rasmi kuanzia mwezi wa nane mwaka huuu
 
Yanga anafungwa au sare,na ikishakuwa hivo maana yake ni kuwa Tp mazembe anashinda kule kwa Bamako na kisha anamsubiri yanga kwa hamu pale Lubumbashi amfanyie circumcision afikishe points 9 yanga abaki na points 7 au 8 zake.

Yanga hafuzu,nipo paleeee....
Uko wapi

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hili kombe mnaliponda ila ndio lilotoa thamani yenu kutokana na kupania kwenu mpaka mkaamua kulidhalilisha taifa kwa kuota moto katikati ya uwanja,tena kwenye nchi ya watu ujasiri huu ni waajabu haijawahi kutokea timu yoyote kufanya kama mlivyofanya nini,kufanya ushirikina kama lio ufanya nyinyi South Africa.

Mmewatia hasara wenzenu kukarabati pichi yao upya,chaki za kati zikabadilika na kuwa nyeusi.
Jamaa wa Yanga alisema "uwanja atakaocheza simba, yanga akicheza atashinda"
1. Yanga ameshinda mechi ngapi za away?
2. Simba ameshinda mechi ngapi za away?
3. Mlishindwaje kuifunga bamako na monastir kwao?
Utakuja shangaa T.P mazembe mnaotoka nao droo kwao.
 
Back
Top Bottom