Hoffenheim
JF-Expert Member
- Dec 25, 2022
- 1,077
- 2,505
Wivu gani ndugu?Usipoteze muda wako mkuu,Hawa Wana wivu na Yanga Kwa kuwa anazifunika zile tambo zao za wao kuwa ni wakimataifa peke yao
Hawaamini mwarabu kafa nyumbani
Unamuonea wivu mtu anayecheza shirikisho? Unaendesha BMW halafu unamuonea wivu anayeendesha bajaji?
Jamaa wa Yanga alisema "Uwanja atakaocheza simba, yanga akicheza atashinda" Yanga ameshinda mechi ngapi za away? Simba mechi za away ameshinda ngapi?
Mkibadilisha kiwanja tu au mtangulie kucheza habari yenu imeishia hapo.