FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

Mnatamani mechi iwee saaa saba mnaona kama inachelewa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata isipochezwa sisi haituhusu na sio shida zetu, tuko buzzy na shangwee la Robo final.

Yuu know???
 
Ni muhimu kukumbushana; hili ni kombe la losers; Simba kule wanapambania Champions!
Habariii iwafikie na iwakee akilini.
Weuweee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Taahira lililotukuka limeona sahihi kabisa kuwaita Binadamu wenzake mmbwa kama vile Ndugu zake wote ni Makolokolo, kweli umbumbumbu ni kipaji [emoji847]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
kwa uchungu huu ulionao bila shaka siku zako za kujifungua zimekaribia.

NB: MAKASIRIKO YAKO MPELEKEE LUC EYMAEL-YANGA WOTE NI UMBWA.
 
Mvua inayopiga Dar inaweza punguza idadi ya mashabiki uwanjani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…