FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

Yani Sijui akili za mashabiki wa Yanga zipoje Sasa makolo wamefanya nini yani pasipo kuitaja simba mnakuwa yatima naona.
Wanawashwaaaa na simbaaaa, kila wakisikia ni lidudeeeee likuubwaaaa, wanateseka mnooo.
 
Yanga msiji sahaulishe hilo ni kombe la mbuzi, hivyo record yenu ya kukaa miongo na miongo bila kuingia makundi champions league bado ipo palepale
Na nyie miongo yote mna kombe lolote huko kimataifa!?
 
Kwahiyo kesho keki mnakata wapi ndugu zangu uto, maana kipofu kuona mwezi sio mchezo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…