FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

Waarabu wanaweza kukuacha ucheze utakavyo, wanakuja kukupiga kimoja tu cha kushtukiza wanamaliza mchezo. Hii mechi haina tofauti na ile ya Al Hilal.
Napata raha sana Makolokolo akiteseka namna hii, Wananchiiiiiiiiiiiiiiiiiii..............[emoji847]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Yanga hawana mpira wa kuvutia yofauti na ladha ya Simba wakiw uwanjani.

Kinachowasaidia hawa ndugu zetu ni midochi + kukimbia kimbia bila malengo.
Bwaaaaaaaaaaaaaaah................[emoji3]
JamiiForums-1072397695.jpg


Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Hivi hii ni kweli? Maana kiwango chao leo kimenishangaza sana.
Kwan hata mechi ya kwanza TUNISIA walikuwa na kiwango gani SEMA imekutana na TIMU yenye KIWANGO ndo mana wakapoteana
Kule TUNISIA kwao zile tu goli 2 za faster walizopata mwanzoni
Kinyume na hapo tuliupiga mpira mwingi na tena walikuwa kwao
Yanga ipo VIZURI mechi zote za tulizocheza MAKUNDI tumelipiga boli si kitoto

Robo FAINALI kwa hizi timu ambazo zishapita hakuna Timu ya kuizuia YANGA

FAR rabati. MOROCO
Rivers united NIGERIA
Asec mimosac IVORY COAST
Us monastry TUNISIA
Marumo gallant SOUTH AFRCA
 
Kuna watu nashindwa kabisa kuwaelewa, hivi ni kipi kinakufanya umshambulie OKW BOBAN SUNZU , jamaa anajitahidi kutoa live updates halafu yupo very positive kwa timu yako. Mnaweza mkataniana kama ilivyo jadi lakini siyo kwa namna hii.
Huyo si Malaika, acha kuangalia Mtu alipoangukia (event) bali angalia alipojikwaa (source) na ndiyo hekima katika maamuzi.

Mipang'ang'a huwa mnajifanyaga watakatifu ila hakuna Viumbe vinafki kama ninyi

Mbona Scars hajawahi kushambuliwa matusi na Mtu yeyote hapa JF kama huyo unayemtetea?

Tafakari, Chukua hatua sahihi.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom