FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

Nyani huwa haoni kundule [emoji1]View attachment 2558650

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
haa,,hapo umepigwa mzee baba.
mwaka 1938 apakua na ligi inaitwa "tpl",,kulikua na michuano inaitwa sunlight cup😂

1964 ikaanzishwa ligi ya taifa(ligi kuu),bingwa wa kwanza kubeba iyo ligi ya taifa ni Sundarland(Simba)alibeba mfululizo 1965 na 1966.

bbc sio watu,kuwalisha matango pori sio sawa😅😂
 
Ogopa sana Technology[eent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app

unasema ugopa sana nini😅👇

images.jpeg
 
haa,,hapo umepigwa mzee baba.
mwaka 1938 apakua na ligi inaitwa "tpl",,kulikua na michuano inaitwa sunlight cup[emoji23]

1964 ikaanzishwa ligi ya taifa(ligi kuu),bingwa wa kwanza kubeba iyo ligi ya taifa ni Sundarland(Simba)alibeba mfululizo 1965 na 1966.

bbc sio watu,kuwalisha matango pori sio sawa[emoji28][emoji23]
[emoji23]
JamiiForums-1417644808.jpg

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Huu uzi wa sie wana yanga cha kushangaza wanathimbaa wamejaa na makasiriko kama yote
Si tumeridhika na ushindi wetu kama vipi si mfungue uzi wenu wa kufurahia hizo goli 7 zenu🤣🤣🤣🤣
 
CAF walikua wanawadanganya sana mipira mingi ilikua haionyeshwi na marefa walikua wanazibeba sana baadhi ya Timu hii ilipelekea wengi kutojua ubora halisi wa Timu za Waarabu...nyingi ni za kawaida mno huyu Rais aliwaambia hakuna mechi haitaonyeshwa hata ikichezwa chini ya Ardhi hao Horoya walio kwenye top ten ya ubora ndio wale madudu na madudu mengine mengi tumeyaona hao Al Ahly wanategemea mechi za nyumbani na ndio hao hao wanachukua ubingwa au Fanalist..
 
Huyu jamaa alikuja akipewa sifa kubwa sana ambazo zilimuweka katika wakati mgumu kwasababu wadau walikuwa wanataka kumlinganisha na Chama

Na yeye alitaka kupita na trend hiyo kuwathibitishia watu kuwa kweli yeye ni bora kuliko Chama mwisho wa siku amejikuta yupo kwenye pressure kubwa
Hater at work
 
Hii Yanga wakikaza wanaweza kufika mbali hao waarabu wengine nao ni kama hawa hawa sio wa kutisha kivile maana hawa ndio waliwatoa Berkane na wao walitolewa kwa tabu Klabu Bingwa na Al Ahly...
 
Yanga anafungwa au sare,na ikishakuwa hivo maana yake ni kuwa Tp mazembe anashinda kule kwa Bamako na kisha anamsubiri yanga kwa hamu pale Lubumbashi amfanyie circumcision afikishe points 9 yanga abaki na points 7 au 8 zake.

Yanga hafuzu,nipo paleeee....
.......ilitakiwa umalizie Yanga ikifuzu utatowa tako.
 
CAF walikua wanawadanganya sana mipira mingi ilikua haionyeshwi na marefa walikua wanazibeba sana baadhi ya Timu hii ilipelekea wengi kutojua ubora halisi wa Timu za Waarabu...nyingi ni za kawaida mno huyu Rais aliwaambia hakuna mechi haitaonyeshwa hata ikichezwa chini ya Ardhi hao Horoya walio kwenye top ten ya ubora ndio wale madudu na madudu mengine mengi tumeyaona hao Al Ahly wanategemea mechi za nyumbani na ndio hao hao wanachukua ubingwa au Fanalist..
Ulichoongea Kuna uwezekano kina ukweli kwa asilimia [emoji817]

Yawezekana pia rushwa ilikuwa imetamalaki pale Cairo ofisi za CAF

Match zilikuwa zinapangwa kwa rushwa sana.

Naona Tangu aje Motsepe timu za arabuni zinachapika tu kama kawaida.
 
Back
Top Bottom