changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Sijui ikitokea Yanga imebeba kombe na shirikisho halafu Simba ikaishia robo fainali, sijui maneno ya kombe la walioshindwa mtayaweka wapi. Unadharau michuano ambayo mmeshiriki na hamna kombe.Mnacheza kombe la walioshindwa club bingwa tu matambo kama yote ingekuwa mnacheza kombe la washindi si mngekuwa hapatoshi...
Kuhusu uwanja anaocheza Simba, akicbeza Yanga kushinda. Mbona mechi dhidi ya Al Hilal Yanga hakushinda? Au ulitumika uwanja ambao Simba hakucheza?
Yanga imecheza michezo minne away na imefungwa michezo miwili tu.
