FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

Yanga msiji sahaulishe hilo ni kombe la mbuzi, hivyo record yenu ya kukaa miongo na miongo bila kuingia makundi champions league bado ipo palepale
Na nyie miongo yote mna kombe lolote huko kimataifa!?
 
Kwahiyo kesho keki mnakata wapi ndugu zangu uto, maana kipofu kuona mwezi sio mchezo..
 
Nimeamua niongee maana mnatia huruma..
Kweli inabidi mtusaidie makoti maana baridi kali ligi tupo juu na kwenye kundi tupo juu.
Screenshot_20230319_223851_WhatsApp.jpg
 
Back
Top Bottom